Kiboko na Mayai ya ndege

kiboko na mayai

Hapo zamani za kale Kiboko alikuwa marafiki na wanyama wengine wa porini. Kila asubuhi wanyama wote walionekana pamoja wakila nyasi kando ya mto. Wote waliheshimiana na hakuna aliyekosa chakula.