Skip to content
Takajua
Takajua

Uko hapa?  Soma stori nifuate kwenye FB, twitter na unione youtube.

 

Skip to content
takajua

takajua

Habari gani?

Youtube
  • Kamusi Yangu
  • Tuwasiliane
  • Home
  • 2022
  • Novemba
  • 3
  • Mbweha anamwalika rafiki yake
mbweha na chakula

Mbweha anamwalika rafiki yake

takajuaNovemba 3, 2022Novemba 3, 2022

Niko nyumbani kwa rafiki yangu kula na kucheza. Lakini chakula sio kile ninachokula kila siku.

Kuku alishtuka alipopewa tu ‘kipande cha nyama ya mwenzake, mbaazi kadhaa na vipande vichache vya karoti’ alipokuwa akisubiri kuandaliwa chakula kwenye nyumba ya rafiki wa Mbweha.

‘Mbona kushangaa?’, Mbweha akauliza alipoona sura ya kuku kubadilika.

Kuku akaondoka mezani bila kumaliza chakula chake au kusaidia vyombo.

mbaazi, nyama, rafiki, vyombo

Urambazaji wa chapisho

Previous: Garindege apotea njia baada ya kumtoroka ndege
Next: Mbona mamba kalala mdomo wazi?

Tazama pia

mzee panya na mbuzi shambani

Wale wanaouza matunda ya uchumi uliokumbwa na matatizo

Septemba 14, 2023 takajua
vurugu ya akili bandia

Tisho Akili Bandia kuvuruga maisha ya binadamu

Juni 2, 2023Juni 9, 2023 takajua
mfalme tumbili

Wezi wa mbao wambeba mfalme tumbili kuona safari ya miti

Aprili 5, 2023 takajua

  • GANI NDIO SAHIHI?
  • JE, UNAJUA?
  • KITENDAWILI
  • KWA NINI?
  • METHALI
  • NI UKWELI?
  • SIKU MOJA
Haki zote zimehifadhiwa | Theme: BlockWP by Candid Themes.
Habari gani? Takajua ©2022