Skip to content
Takajua
Takajua

Uko hapa?  Soma stori nifuate kwenye FB, twitter na unione youtube.

 

Skip to content
takajua

takajua

Habari gani?

Youtube
  • Kamusi Yangu
  • Tuwasiliane
  • Home
  • 2022
  • Novemba
  • 8
  • Mbona mamba kalala mdomo wazi?
mamba analala mdomo wazi

Mbona mamba kalala mdomo wazi?

takajuaNovemba 8, 2022Novemba 8, 2022

Picha ya mamba akiwa amelala huku akiwa amefungua mdomo lake mbele ya wanyama wengine kwenye kichaka inazua wasiwasi zaidi kuhusu tahadhari za usalama kati ya wanyama wanao kula nyasi. Mkuu wa twiga wa porini, Twiga mrefu, anasema picha ya mamba huyo akiwa amelala na jicho lake moja wazi ni tatizo. “Sisi hatuko katika nafasi ya kunywa maji mtoni kwa amani bila wasiwasi kwa sababu mamba huyu anatutia hofu,” akasemaTwiga mrefu.

hofu, maji, mamba, mtoni, twiga

Urambazaji wa chapisho

Previous: Mbweha anamwalika rafiki yake
Next: Paka kufungwa kengele ya kelele

Tazama pia

mzee panya na mbuzi shambani

Wale wanaouza matunda ya uchumi uliokumbwa na matatizo

Septemba 14, 2023 takajua
vurugu ya akili bandia

Tisho Akili Bandia kuvuruga maisha ya binadamu

Juni 2, 2023Juni 9, 2023 takajua
mfalme tumbili

Wezi wa mbao wambeba mfalme tumbili kuona safari ya miti

Aprili 5, 2023 takajua

  • GANI NDIO SAHIHI?
  • JE, UNAJUA?
  • KITENDAWILI
  • KWA NINI?
  • METHALI
  • NI UKWELI?
  • SIKU MOJA
Haki zote zimehifadhiwa | Theme: BlockWP by Candid Themes.
Habari gani? Takajua ©2022