Skip to content
Takajua
Takajua

Uko hapa?  Soma stori nifuate kwenye FB, twitter na unione youtube.

 

Skip to content
takajua

takajua

Habari gani?

Youtube
  • Kamusi Yangu
  • Tuwasiliane
  • Home
  • 2022
  • Disemba
  • 3
  • Ngamia asakata rumba uwanjani
mpira usiku

Ngamia asakata rumba uwanjani

takajuaDisemba 3, 2022Disemba 4, 2022

Wengine walihema na kuangamia uwanjani kutokana na ukosefu wa maji na joto kali. Ngamia walionekana kama kuwa na miili yenye kuzuia makali ya jua. Mabao yalifungwa mengi huku wapinzani wao wakilalamika mazingira ya mchanga na upepo mkali.

Ngamia wamekuwa kwenye fomu nzuri zaidi msimu huu. Wakiwa hawajapoteza hata gemu moja mfululizo katika gemu zao .

joto, maji, upepo

Urambazaji wa chapisho

Previous: Supu moto yamtia flamingo woga wa maji
Next: Sungura apata chai ya mbweha

Tazama pia

mfalme tumbili

Wezi wa mbao wambeba mfalme tumbili kuona safari ya miti

Aprili 5, 2023 takajua
sungura chai asubuhi

Sungura apata chai ya mbweha

Disemba 16, 2022Disemba 16, 2022 takajua
flamingo sufuria ndani

Supu moto yamtia flamingo woga wa maji

Novemba 24, 2022Novemba 25, 2022 takajua

  • GANI NDIO SAHIHI?
  • JE, UNAJUA?
  • KITENDAWILI
  • KWA NINI?
  • METHALI
  • NI UKWELI?
  • SIKU MOJA
Haki zote zimehifadhiwa | Theme: BlockWP by Candid Themes.
Habari gani? Takajua ©2022