Skip to content
Takajua
Takajua

Uko hapa?  Soma stori nifuate kwenye FB, twitter na unione youtube.

 

Skip to content
takajua

takajua

Habari gani?

Youtube
  • Kamusi Yangu
  • Tuwasiliane
  • Home
  • 2022
  • Disemba
  • 16
  • Sungura apata chai ya mbweha
sungura chai asubuhi

Sungura apata chai ya mbweha

takajuaDisemba 16, 2022Disemba 16, 2022

Habari zilienea kote kichakani kuhusu maisha ya kifahari ya sungura. Mbweha akapanga njama ya kuwa meza ya sungura ili aweze kuwekewa chai.

‘Habari gani hii?’, punda akauliza ng’ombe.

‘Nimeshangaa pia mimi. Yawezekanaje mbweha kuwa meza ya sungura?’, ng’ombe akauliza.

‘Najua sababu. ‘ , punda akajibu.

‘Mbweha kama meza ako na miguu minne.’, punda akaendelea.

,Wewe punda hujaelewa. Mbweha amekuwa kama meza iliammeze sungura!’, ng’ombe akasema kwa sauti.

asubuhi, chai, mbweha

Urambazaji wa chapisho

Previous: Ngamia asakata rumba uwanjani
Next: Ndovu ana nguvu kiasi gani?

Tazama pia

mfalme tumbili

Wezi wa mbao wambeba mfalme tumbili kuona safari ya miti

Aprili 5, 2023 takajua
mpira usiku

Ngamia asakata rumba uwanjani

Disemba 3, 2022Disemba 4, 2022 takajua
flamingo sufuria ndani

Supu moto yamtia flamingo woga wa maji

Novemba 24, 2022Novemba 25, 2022 takajua

  • GANI NDIO SAHIHI?
  • JE, UNAJUA?
  • KITENDAWILI
  • KWA NINI?
  • METHALI
  • NI UKWELI?
  • SIKU MOJA
Haki zote zimehifadhiwa | Theme: BlockWP by Candid Themes.
Habari gani? Takajua ©2022