KITENDAWILI Simba tisa waingia boma ya mbuzi kumi Hapo karibu panya mdogo alipitia akiwa na woga na bila kutarajia na katika harakati ya kuondoka, alikimbia ndani ya pua ya Simba mmoja. takajuaMei 18, 2023
METHALI, SIKU MOJA Samaki akilia machozi yabaki baharini Hadi leo maji baharini imejaa takataka ili samaki wampatie machozi. takajuaMei 5, 2023