Nani atamng’oa simba jino?

" Wewe unasema huwezi kulala? Mimi nimeshindwa kula kwa sababu masikio yangu yameshindwa kuzuia kelele. Sasa mimi ni mgonjwa.", Ndovu akasema.

Wanyama wote walikusanyika katika bustani ya Motobaridi. Tumbili akawa wa kwanza kusema,

“Mimi sijalala wiki tatu kutokana na kilio wa simba kuumwa na jino lake. Sasa siwezi kufikiria sawasawa.”

” Wewe unasema huwezi kulala? Mimi nimeshindwa kula kwa sababu masikio yangu yameshindwa kuzuia kelele. Sasa mimi ni mgonjwa.”, Ndovu akasema.