Simba walikuwa wamelala msituni, kila mmoja alikuwa amelala kifudifudi kutokana na makali ya njaa . Hapo karibu panya mdogo alipitia akiwa na woga na bila
Endelea kusomaKITENDAWILI
Siri ya kutembea ukuta kama mjusi
Tembo alitaabika sana kwa sababu ya ukubwa wa pua lake. Alikuwa anataka kujua siri ya mjusi iliyomwezesha kutembea kwa ukuta bila kuanguka. Aliona kama muujiza.
Endelea kusoma