NI UKWELI?

Sungura apata chai ya mbweha

sungura chai asubuhi

Habari zilienea kote kichakani kuhusu maisha ya kifahari ya sungura. Mbweha akapanga njama ya kuwa meza ya sungura ili aweze kuwekewa chai. ‘Habari gani hii?’, punda akauliza ng’ombe. ‘Nimeshangaa pia mimi. Yawezekanaje mbweha kuwa meza ya sungura?’, ng’ombe akauliza. ‘Najua…

Ngamia asakata rumba uwanjani

mpira usiku

Wengine walihema na kuangamia uwanjani kutokana na ukosefu wa maji na joto kali. Ngamia walionekana kama kuwa na miili yenye kuzuia makali ya jua. Mabao yalifungwa mengi huku wapinzani wao wakilalamika mazingira ya mchanga na upepo mkali. Ngamia wamekuwa kwenye…

Supu moto yamtia flamingo woga wa maji

flamingo sufuria ndani

Samaki na flamingo walipenda sana kuogelea ziwani. Kwa sababu hii wakawa marafiki. Kila walipokutana katika ziwa majisafi flamingo alimpa samaki uhondo za kule alikokuwa na yale aliyoyaona. Samaki naye alimhadithia flamingo matukio ya kule ndani majini. Wakati mwingine flamingo alimhadithia…