Tamaa ya kupaa angani
Hatimaye walijadiliana pamoja, na kukubaliana kwamba atamtafutia mamba mabawa
Hapo zamani za kale palikuwa na mti wa matunda matamu sana katika bustani. Mti huu ulikuwa umesifika sana kwa kuwa na matunda matamu zaidi kuliko yote. Wakati moja katika msimu wa matunda kulikuwa na majadiliano. Matunda walikuwa wakishauriana na kupeana…
“Mimi ni bora zaidi kuliko wewe,” Garindege akajionyesha kwa magari mengine. “Kweli wewe uko sawa” lile gari kuukuu jeupe likakubali. “Wewe ni mrembo na umeendelea kiteknolojia kuliko sisi wengine. Unaweza kupaa angani pia.” “Na nilisahau kukuambia kitu,” akasema Garindege. “Kioo…