URAFIKI wa mwewe na kuku
Hapo zamani za kale mwewe walikuwa marafiki na kuku. Wote wawili walikuwa karibu sana hivi kwamba waliamua kujenga nyumba karibu na kila mwenzake. Mwewe alijenga kiota chake karibu na vichaka ambako kuku alikuwa akiishi na binadamu. Siku moja, mwewe alimwona mmoja wa watoto wa kuku akicheza. Wakati huo watoto wa mwewe walikuwa wakilia kutokana …