A – C
A
Afya
Askari
Mtu anayelinda nchi
Agiza
Ambia mtu kufanya jambo fulani kwa heshima
Adhabu
Jambo afanywalo mtu baada ya kufanya kitendo kibaya
Acha
Tengana
Adabu
Matendo ya heshima
Adui
Mtu ambaye humtakiya mwenzake maovu
Afueni
Hali ya kupata dawa
Anga
Uwazi ulio juu ya milima
Andika
Chora kwa kutumia herufi
Ajabu
Jambo lisilo la kawaida
B
Babu
Babake mama au baba
Baba
Mzazi wa kiume
Badala
Jambo au kitu kingine
Bahari
Eneo kubwa la maji
Bahati
Tokeo baya au zuri
Baiskeli
Chombo cha kusafiria chenye magurudumu mawili au matatu
Balozi
Mwakilishi wa taifa lingine
Bakuli
Chombo kitumiwacho kupakulia chakula
Bandika
Weka kitu juu ya kingine
Banduka
Ondoka mahali ulipokuwa
Bao
Goli katika mchezo wa kandanda
Barabara
Njia pana itumiwayo na wapiti njia na hata magari
Barafu
Kitu kilicho baridi maji
Barakoa
Kitambaa kitumiwacho kufunika mdomo na pua kuzuia maambukizi
Baraka
Mambo kufanyika vema kwa mapenzi ya Mungu
Baridi
Hali ya kutokuwa na joto
Basi
Aina ya gari kubwa la kubeba abiria
Bata
Aina ya ndege wa kufugwa nyumbani aliye na miguu kama chura
Bendera
Kitambaa kilicho na ishara au nembo ya kutambulisha taifa
Biashara
Shughuli ya kuuza na kununua
Bidii
Juhudi au jasho litumiwalo katika kazi iliyatimilike
Bingirisha
Zungusha kitu kama mpira au gurudumu
Binafsi
Peke yangu
Bodaboda
Baiskeli au pikipiki inayotumika kubeba watu au bidhaa kwa malipo
Biskuti
Aina ya mkate mdogo
Blangeti
Blanketi
Bofulo
Aina ya mkate mkubwa wa unga wa ngano
Bofya
Bonyeza
Bomoka
Anguka au poromoka
Boma
Makao ya kuishi watu na mifugo
Bongo
Akili
Bora
Enye thamani
Bustani
Shamba lililo maua au miti
Bure
Kisicho na gharama
Bunge
Jumba mnamofanyiwa mikutano
Burudani
Hali ya kustarehesha kwa chakula, ngoma
Bumbuazi
Hali ya kuwa kimya au kutofahamu
Chacha
Kasirika au haribika
Chafu
Mambo maovu au isiyo safi
chafya
Hewa inayotoka kwa ghafla kifuani kwa sababu ya kohozi
chagua
Kagua kwa kuondoa kisichotakikana
chai
Kinywaji kitumiacho majani
chakari
Zaidi au kupindukia kiwango cha kawaida
chakula
Kitu kitiwach tumboni kupitia mdomo upate nguvu
chambua
Kagua matumizi ya lugha
changamka
Furahi au hisi wepesi wa kufanya jambo fulani
changarawe
Vipande vya mawe vidogo vitumiwavyo katika ujenzi
changamsha
Furahisha
chanja
kutia dawa mwilini kukabiliana na ugonjwa fulani
chapa
Adhibu
chapati
Aina ya mkate
chatu
Nyoka mkubwa sana ambaye hana sumu
chawa
Mdudu mdogo akaaye nyweleni au kwenye nguo na kufyonza damu
cheche
kipande kidogo cha kitu
cheka
Sauti ya furaha au dharau inayotoka kwa sauti na kufungua mdomo
chembe
Kitu kidogo
chemsha
kuweka majimaji motoni hadi iwe mvuke
chemshabongo
maswali yamfanyayo mtu kufikiri jibu ambalo sio wazi
chenga
Hepa kwa ujanja
cherehani
Kifaa kitumiwach kushonea nguo
cheti
karatasi maalum au stakabadhi ya kuthibitisha kufaulu au kupata mafanikio
cheua
Kutafuan tena kilicho toka tumboni kama nyasi
cheza
Fanya mambo ya kufunyiza viungo vya mwili mazoezi kama densi
chimba
Toa kitu undongoni au ardhini kwa kulima
chipukizi
Kijana anayeanza kupevuka
chipsi
Viazi vilivyokatwa na kutiwa ndani ya mafuta mengi
chiriku
Ndege mwenye kelele sana
choka
Ishiwa na nguvu
chokoza
Sumbua au kasirisha
choma
Tia kwenye moto au hali ya joto kali
chombo
Kifaa au kitu la kufanyia kazi fulani
chomoa
Toa kitu mahala pake kwa kufichua
chora
Toa mfano au picha kwa kalamu au kidole
chota
Chukua kwa kuweka ndani
chubwi
Sauti linalotokana na kitu kutiwa ndani ya maji
chovya
Kuweka mdomoni kilicho kwenye kidole
chuchumaa
Kujishusha kwa kukunja magoti
chumvi
Madini yanayotumiwa katika chakula kuongeza ladha
chunga
Linda
chungu
Sio tamu ni kikali
chuo
Shule
Congo
chura
Mnyama wa miguu ya kurukaruka na aishiye majini