K – M
K
Kaa
Jinsi kitu kinavyoonekana au kuishi mahali Fulani
Kabati
Namna ya sanduku la chuma au mbao cha kuwekea vitu
Kabila
Jamii ya watu wanaouhusiano mooja kimila au kitamaduni au kilugha
Kachumbari
Mchanganyiko wa nyanya, vitunguu, limau pilipili
Kahawa
Kinywaji kitengenezwacho kwa unga wa buni na maji au maziwa.
Kalamu
Kali
Ilio chungu
Kalenda
Orodha ya siku, wiki au miezi
Kaka
Kamari
Ndugu wa kiume
Kamati
Kikundi cha watu waliochaguliwa kutatua tatizo
Kamba
Uzi mnene uliotengenezwa kwa kufuna nyuzi zilizo nyembamba pamoja
Kamata
Shika sawasawa bila kuacha
Kamusi
Kitabu chenye maneno yaliyopangwa kialfabeti
Kandanda
Kando
Kabumbu
Kanzu
Kanyaga
Kaptula
Kanisa
Kasoro
Kaskazini
Katiba
Kazi
Kauka
Kataza
Keki
Kelele
Kesho
Kesi
Kiapo
Kibarua
Kiatu
Kiboko
Kichaa
Kibuyu
Kicheko
Kichungi
Kienyeji
Kifafa
Kifaru
Kijana
Kilema
Kileo
Kinagaubaga
Kinyago
Kinywaji
Kioo
Kiota
Kipepeo
Kipindi
Kisogo
Kiraka
Kipofu
Kitendawili
Kitambaa
Kivuli
Kitumbua
Kizimbani
Kizungumkuti
Kobe
Kodi
Kofi
Kombamwiko
Kondakta
Korosho
Kuku
Kosa
Kumbe
Kundi
Kunguru
Kumi
Kuni
Kusanya
Kutana
Kuta
Kwato
Kwaruza
Kwaheri
Kwama
L
La
Tamko la kukanusha
Labda
Pengine
Laini
Nyororo, sio ngumu, dabwadabwa
Lakini
Tamko la kuonyesha tofauti baina ya mambo mawili
Lala
Jinyoosha kitandani
Lalamika
Nung’unika
Lamba
Onja au weka ulimi, ramba
Lango
Mlango kubwa
Lazima
Bila hiari
Lazimu
Kuweza kufanyika
Leta
Fikisha kitu ulichoitishwa
Lia
Toa sauti
Likizo
Siku ya mapumziko
Linda
Weka salama
Lipua
Fanya kitu kipasuke
Lishe
Chakula kinachofaa kwa afya nzuri
Lugha
Maneno na matumizi yake
M
Maabara
Pahali ambapo hufanyiwa majaribio ya kisayansi
Maadili
Mafundisho mazuri
Maalumu
Enye sifa ya kipekee
Maandiko
Maandishi matakatifu ya kidini
Maanani
Zingatia
Maarifa
Ujuzi wa jambo Fulani
Mabavu
Nguvu Zaidi
Machafuko
Macheo
Machozi
Machweo
Wakati jua anapozama
Madhubuti
Enye nguvu
Maelezo
Maneno yaliosemwa au kuandikwa kuonyesha jambo
Mafanikio
Matokeo mema ya jambo
Mafuta
Sehemu ya nyama iliyonona