Lebo bahari

Wimbo wa Nyangumi wamtoa ndege machozi

ndege wa machozi ya nyangumi

Hapo zamani za kale ndege na nyangumi walipendana sana kama chanda na pete. Ndege alipenda vile nyangumi alivyocheza na maji. Alipenda jinsi alivyokuwa akiogelea kwenye maji kwa ujuzi. Nyangumi alipenda sana manyoya meupe ya ndege. Alipenda pia kumtazama akipaa angani.…