Siku moja jua likiwa limechomoka, kombamwiko aliamua kwenda safarini kukukutana marafiki wenzake. Akiwa njiani alikutana na panzi ambao walimchukia sana. “Habari yako bwana panzi?” aliita
Endelea kusomaTag: hasira
Simba tisa waingia boma ya mbuzi kumi
Simba walikuwa wamelala msituni, kila mmoja alikuwa amelala kifudifudi kutokana na makali ya njaa . Hapo karibu panya mdogo alipitia akiwa na woga na bila
Endelea kusoma